wake

UDHALILISHAJI WA WANAWAKE NA WATOTO NI MATAKWA YA UBEPARI.

Nilikuwa miongoni mwa nilioshuhudia kile kinachoitwa kampeni  ya miaka miwili ya kupambana na ukatili na  udhalilishaji wa wanawake na watoto Zanzibar iliyozinduliwa rasmi tarehe 6.12.2014 Hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. Kampeni hiyo ilibeba kaulimbiu isemayo: “ Mwanamume rijali  kamwe hadhalilishi wanawake na watoto”. Katika uzinduzi huo Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya uliwakilishwa na [...]

Read more
noble

TUNZO YA NISHANI YA NOBEL NI KUTUKUZA UBEPARI

Kutoka Jarida la Khilafah No.39 Muharram  1436 Hijri/ Novemba  2014 Miladi Watu waliotoa mchango mkubwa kuhudumia jamii na kuleta amani katika Ulimwengu  kwa mtazamo wa Kimagharibi,hupewa zawadi na UN isiyopunguwa thamani ya  $ 1.5 milioni ambazo ni sawa na SEK 10 milioni. Tunzo hii kiasili iliasisiwa na Alfred Nobel, ambaye alikuwa ni  mhandisi katika masuala [...]

Read more
hospital

MATIBABU YA NJE KWA VIONGOZI WA NCHI CHANGA NA ATHARI YAKE KIMFUMO

 Mengi yamesemwa kuhusu viongozi wa nchi zetu zinazoitwa  nchi changa, nchi zinazoendelea au nchi  za Ulimwengu wa Tatu kupata matibabu yao nje ya nchi zao.  Kwa bahati mbaya mara nyingi kama sio zote suala hili huongelewa katika upande wa gharama za kifedha na dhihirisho la dharau ya viongozi hao kwa kitendo cha kuwaacha raia wao [...]

Read more
faith

TUJADILIANE NA MAKAFIRI KATIKA MASUALA YA MSINGI NA SIO MATAWI

Moja katika jambo la kichekesho lakini lenye mazingatio nililokutana nalo katika ziara yangu Pemba ni pale tulipokutana na kijana mmoja anaejishughulisha na kusoma dini ambae alitueleza kuwa kuna mkiristo ameleta suala anataka apewe jibu na ushahidi. Suala lenyewe ni  hili: “Kwani wanawake wa Kiislamu wanaposwali huvua nguo za ndani? (chupi).” Suala hili la mkiristo huyu [...]

Read more
HT LOGO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MAREKANI YAPENYEZA FITNA ZAIDI MISIKITINI

  Hizb ut-Tahrir Afrika Mashariki inalaani kwa nguvu zote na haikubaliani kabisa na tamko la Ofisi ya Mufti Zanzibar la kupiga marufuku matumizi ya vipaza sauti vya nje ya misikiti isipokuwa kwa adhana, iqama,khutba na sala za Ijumaa nk. na kile walichokiita ati dharura zinazokubalika kisheria. Tamko  lililotolewa na Afisi hiyo kupitia barua yake ya [...]

Read more
ashura

SUBRA NA MSIMAMO WA ZAYNAB MBELE YA YAZID MTAWALA DHALIMU

Ndani ya mwezi wa Muharram ndipo ilipotendwa dhulma kubwa ya kuuwawa kikatili mjukuu, kipenzi cha  Mtume SAAW na Khalifah wa Waislamu, Imam Hussein bin Ali Ra.akiwa pamoja na kundi  la Waislamu waliojumuika naye. Ilitendwa dhulma hiyo kwa amri ya mtawala dhalim Yazid bin Muawiyah. Kwa munasaba huu ni muhimu kuangazia kidogo  maisha ya bibi Zaynab [...]

Read more
elimu

MTAZAMO WA UISLAMU KUHUSU ELIMU

Mada iliyowasilishwa na Mashababu wa Hizb ut-Tahrir ndani ya Zanzibar katika Semina na dua ya pamoja kwa Wanafunzi wanaojitayarisha na Mitihani ya  Kidato cha Nne 2014. Semina ilikuwa tarehe 25/10/2014 Ukumbi wa Skuli ya Muembe ladu- Zanzibar   Enyi watukufu wanafunzi wa Kiislamu,   Kutafuta elimu ni jambo lililofaradhishwa kwa kila Muislamu awe mwanamme au [...]

Read more
ujenzi

‘SOKOHURIA’ NI KITANZI CHA KAMPUNI ZA NCHI CHANGA

HABARI Jarida la East African la tarehe 11/oktoba 2014 liliripoti  kwamba makampuni ya Ukandarasi/ ujenzi nchini Kenya yamelalamika vikali kutokana na mengi yao kushindwa na makampuni ya kichina katika kupatiwa zabuni za ujenzi wa  barabara zenye urefu wa kilomita 10,000 nchini humo. Kilio hicho kimekuja licha ya ahadi ya Raisi Uhuru Kenyatta na Makamo wake [...]

Read more
afya

SUALA LA AFYA BAINA YA UISLAMU NA DEMOKRASIA (UBEPARI)

Ustadh Ramadhan Moshi Afya ni hitajio nyeti kwa binadamu baada ya mahitajio msingi ya mavazi, malazi na makaazi.  Bali  lau mwanadamu anaathirika afya yake anaweza kufikia  hata kutojali  mahitajio hayo matatu, pale maradhi yatakapomthakili kiasi cha  kuhatarisha ghariza ya kuendelea kuishi. Yaani mwanadamu  akihisi kuwa muda wowote anaweza kufa kutokana na maradhi. Basi katika hali [...]

Read more
plane

MASALIBIYINA WAPYA WANAKUSANYA PAMOJA VITIMBI VYAO NA KUENDELEZA MAUAJI NA UADUI KATIKA BILADI ZA WAISLAMU, ILHALI WATAWALA VIBARAKA WA BILADI HIZO WANAPIGANA PAMOJA NAO PASINA KUMUONEA HAYA MWENYEZI MUNGU, MTUME WAKE WALA WAUMINI.

Bado Amerika inaendeleza mauaji yake dhidi ya biladi za Kiiislamu ikitumia makombora ya ndege na manuari za kivita, yote haya yanajiri tokea aanze mashambulizi yake nchini Iraq tarehe 08/08/2014. Kisha uadui huu ukaendelea zaidi kwa kuishambulia Syria mnamo 23/09/2014, ikishirikisha ndani yake watawala vibaraka walioko katika nchi za Kiislamu,washirika wake na wafuasi wake nao wakufuata: [...]

Read more
kitanzi

‘KUKOMESHWA ADHABU YA KIFO’ : DHIHIRISHO LA MGONGANO KATIKA MFUMO WA KIDEMOKRASIA- 1

Na Masoud Msellem Tangu mwaka 2003, siku ya tarehe 10 Oktoba ya kila mwaka imechaguliwa kimataifa kuwa siku ya kampeni ya kukomeshwa kwa adhabu ya kifo duniani. Kampeni hii hufanywa dunia nzima ikiungwa mkono na baadhi ya nchi, majukwaa ya haki za raia na taasisi mbali mbali hususan zinazoitwa na kujishughulisha na masuala ya ‘haki [...]

Read more
kitanzi

‘KUKOMESHWA ADHABU YA KIFO’ : DHIHIRISHO LA MGONGANO KATIKA MFUMO WA KIDEMOKRASIA- 2

UDHAIFU WA HOJA ZA KAMPENI HII Hapana shaka yoyote sababu kubwa wanayoitegemea wabebaji wa kampeni hii ambao ni wanademokrasia wenye siasa kali ni mfumo wao wa ‘demokrasia’ na dhana yao butu na potofu ya fikra za uhuru (freedoms), wakikusudia kwamba kupitisha adhabu hii kunapingana moja kwa moja na ‘uhuru binafsi’ wa binaadamu wa kuishi, kama [...]

Read more
unrest

MAUAJI YA KIBAGUZI NCHINI MAREKANI NI ISHARA NYONGEZA YA KUTOWEZA MAREKANI KUSIMAMIA ULIMWENGU

Kaema Juma Mwanzoni mwa mwezi agosti mwaka huu kulitokea vurugu katika maeneo kadhaa nchini Marekani. Maandamano na vurugu hizo zilitokana na kitendo cha askari mzungu kumpiga risasi kijana mweusi  kwa jina la Michael Brown. Kwa mujibu wa aliyeshuhudia mauaji hayo, kijana Michael hakuwa na silaha yoyote na alikuwa tayari kajisalimisha lakini askari alimuua bila ya [...]

Read more
kuchinja

EID UL- UDH-HIYA NA JUKUMU LETU LA KUJITOLEA MUHANGA’ KWA AJILI YA UISLAMU

  Masoud Msellem فَلَمَّا بَلَغَ مَعَهُ السَّعْيَ قَالَ يَابُنَيَّ إِنِّي أَرَى فِي الْمَنَامِ أَنِّي أَذْبَحُكَ فَانظُرْ مَاذَا تَرَى قَالَ يَا أَبَتِ افْعَلْ مَا تُؤْمَرُ سَتَجِدُنِي إِنْ شَاءَ اللَّهُ مِنْ الصَّابِرِينَ “Basi alipofika makamu ya kutembea naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja.Basi angalia wewe waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyoamrishwa, utanikuta [...]

Read more
HT LOGO

SALAMU ZA EID KUTOKA KWA MWANACHUONI NA SHEIKH ATA BIN KHALIL ABU AL-RASHTAH- AMIRI WA HIZB UT-TAHRIR

Kupitia Khutba yake katika Ukurasa wake wa  Facebook ndani ya Siku ya baraka ya Eid Al-Adh-ha mwaka 1435 AH/ 2014 CE بِِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحِيمِ      Allahu Akbar… Allahu Akbar… Allahu Akbar… Lailaha ila Lah .. Allahu Akbar… Allahu Akbar, Kila sifa njema anastahiki Allah Kwa Ummah mtukufu wa Waislamu, kwa mahujaji katika nyumba ya [...]

Read more
eid p

EID-UL- UDH- HIYA IUNGANISHE WAISLAMU WOTE DUNIANI

EID-UL- UDH- HIYA  IUNGANISHE  WAISLAMU WOTE  DUNIANI Sikukuu  ya Eid al-adha ndio Sikukuu kubwa kwa Waislamu. Siku hii huadhimishwa  baada ya Waislamu  kukamilisha  utekelezaji wa  Ibada muhimu ya hijja katika nyumba tukufu ya Al ka’aba Makka. Ibada ya Hijja huwakutanisha Waislamu kutoka pembe zote za dunia na inavyotakiwa  ndani yake wapewe ujumbe mzito wa masaibu [...]

Read more
The hands of a Muslim pilgrim are seen as he prays on Mount Mercy on the plains of Arafat

‘ARAFAH’ INATUKUMBUSHA KUKAMILIKA KWA UISLAMU

      Allah Taala anasema: الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمْ الإِسْلاَمَ دِينًا…. (المائدة: 3) “Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni Uislamu uwe dini yenu” (Al-Maidah: 3)   Moja kati ya jambo la kukumbukwa lililotokea katika hijja ya kuaga ya Mtume SAAW ni kuteremka kwa ayah hii [...]

Read more
hajji2

HIJJA YATHIBITISHA UMOJA WA KIMAUMBILE KWA UMMAH WETU

Waislamu  kwa mamilioni kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni tayari wanaendelea kutekeleza ibada ya Hijjah katika mji mtukufu wa Makkah. Ibada hii inatukumbusha wito alioutoa Nabii Ibrahim AS pale alipoamrishwa na Allah SWT kuwatangazia watu kwenda kuhiji katika nyumba tukufu ya Al- Kaaba. Allah Taala anasema:   وَأَذِّنْ فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالاً وَعَلَى كُلِّ ضَامِرٍ [...]

Read more
somalia-women

WAAWAKE WA KIISLAMU KAMWE HAWATOPATA HIFADHI NA ULINZI KUTOKA KWA MAJESHI YA KULINDA AMANI

بسم الله الرحمن الرحيم Habari na Maoni Habari : Mnamo tarehe 8 septemba 2014 Shirika la habari la Russia Today liliripoti matokeo ya utafiti  uliofanywa na Shirika la Haki za Binadamu la  Human Right Watch (HRW) juu ya matendo ya ubakaji  yanayotendwa na Vikosi vya Kulinda Amani vya Umoja wa Mataifa kwa wanawake wa kisomali [...]

Read more
k pic1

MAKONGAMANO YA KHILAFAH YAFANA NCHINI UINGEREZA

  Kati kati ya  mwezi septemba  mwaka huu maelfu ya Waislamu walihudhuria mikutano mitatu mikubwa iliyoandaliwa na Hizb ut-Tahrir katika miji kadhaa nchini Uingereza. Mikutano hiyo ilibeba  anuani ya:  “Gaza, Iraq, Syria – Jukumu letu katika kuuandaa vyema  Ummah wetu kwa siku zijazo”. Mikutano hii ilifanyika ili kuleta ufafanuzi dhidi ya uongo kuhusu fikra ya [...]

Read more
iraq

JIBU LA SWALI: MASHAMBULIZI YA MAREKANI NDANI YA IRAQ

بسم الله الرحمن الرحيم SWALI: Zimenakiliwa habari katika siku hizi  za mwisho juu ya ndege za kimarekani kufanya mashambulizi ya anga katika baadhi ya maeneo ya kikundi cha dola (ISIS) kaskazini mwa Iraq….na zimejitokeza kauli za Obama na baadhi ya viongozi wa Marekani kwamba jambo hilo limetimia kwa sababu za kibinaadamu na kuogopea kutokea mauaji [...]

Read more
figo

ZIARA YA REAL MADRID NCHINI NI MBINU YA KUULAZA UMMAH

Na Kaema Juma Tumeshuhudia  karibuni mechi kati ya wachezaji was wastaafu  wa Real Madrid na timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Kufuatia ziara ya timu hiyo nchini Tanzania. Ziara na mechi hii imedhaminiwa na mjumuiko wa makampuni kadhaa ikidaiwa ati  ina lengo la kukuza  sekta ya utalii nchini Tanzania. Makampuni hayo hayajaweka wazi gharama [...]

Read more
mimba

KAMPENI DHIDI YA ‘MIMBA ZA UTOTONI’ INA LAKE JAMBO

Na Ummu Ammar Tumesikia kampeni kali  ya kitaifa dhidi ya ndoa zinazoitwa  za utotoni inayoendeshwa na Taasisi ya  bi  Grace Michel, mjane wa raisi Samora na raisi Mandela. Kampeni hiyo  imezinduliwa Wilaya ya Tarime  mkoani Mara. Katika kampeni hiyo kumetolewa mwito  wa wananchi kuweka shinikizo  ili iwepo sheria ndani ya katiba inayotamka kuwa mtoto ni [...]

Read more